Wasiostahili kurudi bungeni 2010


- Unataka nitaje mafanikio yake mara ngapi mkuu au na wewe una makengeza? Nenda nyuma ukaone halafu acha ukali ni haki yangu kutoa maoni yangu hapa JF wewe ni nani wa kuuliza kwa nini ninatoa maoni yangu? Wewe toa maoni yako na mimi ninaeka yangu mpaka asubuhi, kama huwezi waachie wanaoweza!

FMEs!
 
- Unataka nitaje mafanikio yake mara ngapi mkuu au na wewe una makengeza? Nenda nyuma ukaone halafu acha ukali ni haki yangu kutoa maoni yangu hapa JF wewe ni nani wa kuuliza kwa nini ninatoa maoni yangu?

FMEs!

wapi umetaja hayo mafanikio ya J4? link please...
 

Basi kama una haki ya kutoa maoni yako na wengine wana haki ya kumkataa Malecela simple because ya umri, si na wao wana haki ya kusema? unasema una haki ya kutoa maoni yako mwenye kisha una lalamika mwenzio akito maoni kuwa aondolewe simply because ya umri HAHAHAHAHA.
 
Jumanne kawa mbunge mtera miaka 19 sasa.....kafanya nini bana cha maana mpaka wananchi wa mtera waingie mkenge wamchague......wana mtera sio wajinga tena
 
Umerithishwa propaganda? No wonder juzi Jumanne alikuwa akiwadanganya wananchi wa Busanda kuwa atawajengea barabara, geeez!!

- Wewe umerithishwa na nani mkuu hizo propaganda zako? unachekesha sana bwa! ha! ha!

- Mzee alikuwa Nairobi kwenye kutano wa wakuu wa vyo wa EAC, sasa yuko Busanda, akimalzia tu safarini UK na US, ndio atarudi kwenye uchaguzi wa jimbo.

FMEs!
 
Na basi toa ushahidi wa hayo mafanikio maana kama kweli kaweza kufanya yote hayo basi ushahidi hauwezi kukosekana.
 
wapi umetaja hayo mafanikio ya J4? link please...
mkuu eti haya ndio mafanikio ya Jumanne kwa miaka 19 awe mbunge wa Mtera
 

- Mzee alikuwa Nairobi kwenye kutano wa wakuu wa vyo wa EAC, sasa yuko Busanda, akimalzia tu safarini UK na US, ndio atarudi kwenye uchaguzi wa jimbo.

FMEs!
haya ndio mafanikio ya Jumanne kwa miaka 19 ya ubunge wa mtera?
 

-Umesema hatuna sheria ya umri, ambalo ndio ksoa kubwa la Malecela kuwa mbunge tena, sasa naomba utaje maksoa yake mkuu badala ya kulilia haki yangu kumtetea, sheria uemsema wmenyewe kwamba haina tatizo naye sasa sema kosa lake katika jimbo la Mtera? Hizi longo longo haziwasaidii wananchi wa jimbo la Mtera!

FMEs!
 
Amemema kafanikiwa kuweka zahanati kila kata bwana na Tanzania nzima ni yeye kaweza. I guess hata JK angeweza kupewa miaka 19 kuongoza nchi hilo lisinge mshinda. Mtu kakaa 19 years & all you can say in his defence ni zahanati? 19 years and thats all he has done na unamsifia?
 
Mzee Jumanne malecela ana ekari 300 huko kongwa ni wakati sasa akasimamie mashamba yake...
 

Wapi nimesema kosa lake kubwa la kutokua mbunge ni umri wake? If you can show this I will retract all my previous comments & apologize to you.
 

- Mkuu naomba unitajie jimbo lingine unalolijua lenye hayo kama Mtera, then utakua na haki ya kubeza maendeleo ya Mtera

- wakuu naomba kupumzika maana hamna hoja, tunaishia kujaza pages for nothing sasa ngoja niwaachie, later!

Resepct!

FMEs!
 
- Wewe umerithishwa na nani mkuu hizo propaganda zako? unachekesha sana bwa! ha! ha!

- Mzee alikuwa Nairobi kwenye kutano wa wakuu wa vyo wa EAC, sasa yuko Busanda, akimalzia tu safarini UK na US, ndio atarudi kwenye uchaguzi wa jimbo.

FMEs!

Hii ndio itafanya achaguliwe tena?

Hizi habari za kuonyesha kuwa mzee ni kigogo haina tija hapa JF, badala yake eleza mzee kafanyia nini wananchi wa Mtera kwa kipindi chote alichokuwa mbunge?

Pesa za kodi ya mazao na mifugo tunazokatwa sisi wananchi yeye ndio anakatia ticket ya ndege kwenda US, UK?

Kama kila siku yeye safari lini anawatumikia wananchi wake?

Kama kweli ana uchungu na wananchi wa Mtera, inakuwaje aishi Sea view halafu awawakilishe? Shuruba wanazopata wananchi wa Mtera hataki kuzisikia, yeye anajirusha Jijini Dar es Salaam.

Hizo Tshs milioni saba anazolipwa kwa mwezi kama mbunge, wananchi wa Mtera wanafaidika nazo vipi kama kweli yeye ni mwakilishi wa Wanamtera? Tumechoka, ni muda wa yeye kula pension yake.
 

So mafanikio ya Mtera hakuna jimbo lolote Tz is that what you are saying? Na nani kabeza maendeleo ya Mtera. Sema wewe umeishiwa na hoja za kumtetea so kapumzike bwana utafute hoja zingine. Have a nice day. Thanks for your opinions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…