Wasiotaka kulipa kodi watupishe kabisa katika nchi hii

kipoma

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
370
Reaction score
296
Hujambo?

Watu ambao hawataki kulipa kodi watupishe kabisa katika nchi hii, tumechoka kusikia malalamiko yao!

Nchi haiwezi endelea bila wewe kutoa kodi, hutakia hama nchi! Oho! Mara makato miamala mikubwa !! Unataka nani akujengee nchi?

Acha ujinga na elimika!
 
Mbona unamatusi?

Wanapoondoka hawawezi kukuaga.
 
Unawapa ushauri au tamko?
 
Inaelekea unaishi kwa dada yako huwezi kuwa na uchungu!
 
Your browser is not able to display this video.

We mgonjwa wa akili, haya mapoyoma bungeni yakilipa kodi stahiki, hakutakuwa na ulazima wa wakulima kutozwa kodi ya mbolea
 
Hii nchi ni mali ya familia yako?
 
ujinga ungekuwa unatolea tuzo basi mleta mada angestahili tuzo yenye hadhi sawa na grammy.
 
Akili ya kuku wewe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…