Wasiovaa barakoa Qatar kufungwa jela miaka 3 au faini ya zaidi ya Tsh. milioni 100

Wasiovaa barakoa Qatar kufungwa jela miaka 3 au faini ya zaidi ya Tsh. milioni 100

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Serikali imeanza kutekeleza adhabu mpya ya kifungo cha hadi miaka 3 jela au faini ya takriban Tsh. Milioni 127, kwa watu watakaoshindwa kutii agizo la kuvaa Barakoa katika sehemu zenye mikusanyiko

Hatua hiyo, imeanza kufanyiwa kazi huku Misikiti, shule na migahawa ikifungwa ili kukabiliana na ugonjwa wa COVID19 ambao hivi sasa umekuwa ni changamoto kubwa duniani kote

Adhabu hizi hazitawahusu Madereva watakaokutwa wakiendesha magari huku wakiwa peke yao ndani ya gari

Mpaka sasa chini ya Qatar ina visa vya Corona zaidi ya 32,600, vifo vilivyotokea ni 15 na Wagonjwa waliopona ni 3,356


=====

Leaving your house without a face mask could send you to prison for three years in Qatar, where the government has threatened violators with jail time and a fine of up to $55,000.

Many governments around the world have mandated the wearing of face masks to prevent the spread of the novel coronavirus, but few have threatened imprisonment for violating the order.

The new policy is evidence that Qatar’s healthcare system is close to collapsing and that the country’s leadership is extremely concerned about the number of coronavirus cases, experts told Al Arabiya English.

The three years in prison penalty for those not wearing masks in public places “indicates the Qatari healthcare system has reached a collapsing point,” according to Bahraini political columnist Abdullah Junaid

“The GCC [Gulf Cooperation Council] health ministers should be prepared for such eventuality, because its fast approaching,” said Junaid in an interview with Al Arabiya English

Expert Varsha Koduvayur said the “very strict” policy signals Qatar’s level of worry about the exponential growth in coronavirus cases in the country

Qatar has so far recorded more than 30,000 Conoravirus cases. With its population of about 2.7 million people, the Gulf country has one of the world’s highest per capita number of reported cases.

“This move signals Qatari authorities’ concerns about the sheer number of cases the emirate faces,” said Koduvayur, a senior research analyst at the Washington-based think tank Foundation for Defense of Democracies, in an interview with Al Arabiya English.

“Of course, if Qatar is serious about clamping down on its growing caseload, then allowing World Cup construction to continue against the backdrop of coronavirus seems counterintuitive,” she added.

Qatar has kept construction sites open as it prepares to host the 2022 FIFA World Cup, despite implementing a slew of harsh measures to stem the spread of coronavirus and the infection of one of its World Cup ambassadors.

Qatar’s cabinet put its severe legal repercussions into effect on Sunday “until further notice.”

The Gulf country of Kuwait, as well as Morocco, have also warned that people who do not wear face masks in public will face prison – both countries giving a penalty of a three-month maximum jail sentence.

Other Gulf countries have also implemented mandatory face mask orders for people in certain circumstances, with violators facing financial penalties – but no prison time.
 
Hatuwezi kuishi kwa kutegemea matambara ya usoni- Alisema bana mkubwa fulani huko North & South Pole

Siku nyingine akasikika akimpongeza mchungaji wa kanisa kwa kutokuvaa barakoa- Mkulu wa kule Casablanca.
 
Sawa wao hawamtegemei Mungu wala Allah, sisi Rais wetu kaanza na Yesu na anamaliza na Yesu na ndiyo maana tumeponywa
 
sasa vifo 15

waliopona zaidi ya elfu 3

halafu unafungia watu ndani ...
hio ni akili au matope ?

ina maana ndani ya muda huu wa corona hakuna watu 15 wamekufa kwa sababu zingine zingine tofauti na corona ?
Wampokee Yesu na kukiri ni mponyaji atawafungua macho, otherwise watabaki wakihangaika na kufungiana ndani, waje kujifunza kwa MAGUFULI,
 
Hio ni huko lakini huku sukumaland hatuvai hata raisi havai na kuanzia ijumaa titaanza kushukuru. Yaa rabii tuepushe na hili janga

Sent using Jamii Forums mobile app


Kwahiyo Raisi asipovaa na-wewe huvai!! Tuombe Mungu hili janga liondoke huku tukiendelea kuomba, kutubia na kufuata ushauri wa wataalamu...


Qatar wanaakili wale, wanajuwa wanachokifanya...mjinga tu ndie atawaona wonders...
 

Qatar

21
Qatar
ConfirmedTodayDeathsRecovered
33,969+1,365154,899

Wenzetu wako vizuri sanaa...wagonjwa wengi, vifo vichache...
 
Back
Top Bottom