Wasiovaa barakoa Qatar kufungwa jela miaka 3 au faini ya zaidi ya Tsh. milioni 100

Duuh faini kubwa kuliko hata hivyo visa vyenyewe vya Corona
 
Reactions: BAK
Safi sana hii kitu ingekuwa ni MANDATORY katika Nchi zote duniani kwa sababu inapunguza maambukizi kwa percentage kubwa sana na hivyo itasaidia katika kuishinda COVID-19.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…