mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 898
Mambo ya ajabu sanamm nadhan kuna vitu tungevipa kipaumbele kuliko vingne yaan serikal inalipia mashabik wa club hii si sawa.....alafu hupa pwan kuna wanafunzi nusi ya shule wanakaa chini mmmh
inafikirisha sanaMambo ya ajabu sana
Wivu tuHabari Jr
Hoja ni fupi mno simba sc wanasafiri kesho alafujiri na inaondoka na mashabiki 17, hawa mashabiki wanaenda kujilipia wenyewe kila kitu...
Acheni ujinga nyie mashabiki wa mipira Yani nchi ijigawe sababu ya simba na yanga mmekuwa mapunguani nakusahau mambo ya msingi nchi hii inamatizo mengi sana katiba mpya,tume mpya ya uchaguzi na ajira kwa vijanaHabari Jr
Hoja ni fupi mno simba sc wanasafiri kesho alafujiri na inaondoka na mashabiki 17,hawa mashabiki wanaenda kujilipia wenyewe kila kitu.
Serikali muwe seriously na hii kitu mnaingiza siasa kwenye mpira,mashabiki wengi wa mpira hususani mashabiki wa Simba wameumia kitendo cha kumpendelea mmoja.
Mwisho msipokuwa makini mpira kuupeleka kwenye siasa mnaenda kugawa mashabiki kupitia Serikali.
Fikra zangu huwa zinaona mbali kama nilivyoona mh Paul makonda kuwa raisi 2030.
Asee mwarabu figter kimoja chake cha mkwezi katuachia msala wa wamama wengi wajawazito bongo kazi Yao ni kutematema tu na kulalamika kwenye hakuna.Habari Jr
Hoja ni fupi mno simba sc wanasafiri kesho alafujiri na inaondoka na mashabiki 17,hawa mashabiki wanaenda kujilipia wenyewe kila kitu.
Serikali muwe seriously na hii kitu mnaingiza siasa kwenye mpira,mashabiki wengi wa mpira hususani mashabiki wa Simba wameumia kitendo cha kumpendelea mmoja.
Mwisho msipokuwa makini mpira kuupeleka kwenye siasa mnaenda kugawa mashabiki kupitia Serikali.
Fikra zangu huwa zinaona mbali kama nilivyoona mh Paul makonda kuwa raisi 2030.
Hata mimi nimeona hiliHabari Jr
Hoja ni fupi mno simba sc wanasafiri kesho alafujiri na inaondoka na mashabiki 17, hawa mashabiki wanaenda kujilipia wenyewe kila kitu.
Serikali muwe seriously na hii kitu mnaingiza siasa kwenye mpira,mashabiki wengi wa mpira hususani mashabiki wa Simba wameumia kitendo cha kumpendelea mmoja.
Mwisho msipokuwa makini mpira kuupeleka kwenye siasa mnaenda kugawa mashabiki kupitia Serikali.
Fikra zangu huwa zinaona mbali kama nilivyoona mh Paul makonda kuwa raisi 2030.
Ni huzuni sana mkuu.Hata mimi nimeona hili