Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amefika nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa zamani na mbunge wa Rorya, Profesa Phelemon Sarungi (89) kutoa salamu za pole.
Profesa Sarungi alifariki dunia nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es Salaam jana Jumatano, Machi 5, 2025 kwa tatizo la moyo.
Soma Pia:
Profesa Sarungi alifariki dunia nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es Salaam jana Jumatano, Machi 5, 2025 kwa tatizo la moyo.
Soma Pia:
- Picha: Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na John Heche wafika nyumbani kwa Marehemu Philemon Sarungi kutoa faraja kwa familia
- Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia