Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Sasa uyu mzee naye alienda kufanya nini? Mpaka sasa sijaona salam za pole kutoka serikalinMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amefika nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa zamani na mbunge wa Rorya, Profesa Phelemon Sarungi (89) kutoa salamu za pole.
Profesa Sarungi alifariki dunia nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es Salaam jana Jumatano, Machi 5, 2025 kwa tatizo la moyo.
Soma Pia:
Wasira amefika nyumbani hapo leo Alhamisi, Machi 6, 2025 na kusalimiana na waombolezaji wakiwemo wanafamilia.
- Picha: Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na John Heche wafika nyumbani kwa Marehemu Philemon Sarungi kutoa faraja kwa familia
- Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia
Wizara ya afya wametoa pole. Ila wale wakuu wa ile mihimili wako kimya pamoja na kwamba ni mwezi wa tobaSasa uyu mzee naye alienda kufanya nini? Mpaka sasa sijaona salam za pole kutoka serikalin
Wanajuana,wasira serikalini kitambo,lakini marehemu alikua mwana ccm,mbunge,waziri,mtumishi wa ummaSasa uyu mzee naye alienda kufanya nini? Mpaka sasa sijaona salam za pole kutoka serikalin