MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Stephen Masato Wasira amewaonya viongozi wa Chama cha Mapinduzi kuwa kama matatizo yanayowakabili wananchi hayazungumzwi na kutafutiwa ufumbuzi wananchi wakatosa imani na CCM kuendelea kuwaongoza.
Mzee Wassira ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na viongozi wa CCM katika Wilaya ya Rorya mkoani Mara na kusisitiza kuwa.
“Sisi ni Chama Cha Mapinduzi, kazi yetu ni kusikiliza kero za watu, mnaweza tukacheza ngoma, lakini kama matatizo ya watu hayazungumzwi na hayatafutiwi ufumbuzi watu watakuwa hawana hakika kama Chama hiki kinashughulika na matatizo yao.