Wasira ana cheo gani serikalini?

Wasira ana cheo gani serikalini?

Ingekuwa weww umepata chance ungeacha?

Kwenye Siasa hakuna kustaafu ...

Nashangaa watu wanaopigania ukomo wa siasa kama vile wanapewa pension...

Ukiwa pensionable kwenye siasa ndio una staafu ... Hizo nyingine ni porojo

Wasira kuna kipindi alikuwa coordinator wa mawaziri kipindi cha JK,

Sasaivi ni masta of all, anacheka na wowote

Mzee wasira tupe maneno 😅
 
Najiuliza ana data sahihi kuhusu masuala ya umeme?
 
Enzi za nyerere YUPO
Enzi za Mwinyi YUPO
kaja mzee mkapa YUPO
Mkapa kampisha mzee kikwetee YUPOOO
Kaja Mzee Magufuli YUPOOOOO
Na sasa hivi na Mama Samia YUUUUUPPOOOO
MZEE WASSIRA HOYEEEEE
 
Ingekuwa weww umepata chance ungeacha?

Kwenye Siasa hakuna kustaafu ...

Nashangaa watu wanaopigania ukomo wa siasa kama vile wanapewa pension...

Ukiwa pensionable kwenye siasa ndio una staafu ... Hizo nyingine ni porojo

Wasira kuna kipindi alikuwa coordinator wa mawaziri kipindi cha JK,

Sasaivi ni masta of all, anacheka na wowote

Mzee wasira tupe maneno 😅
Hata kama, ndio afafanue mikakati ya TANESCO kwani yeye ni MD?
 
Back
Top Bottom