Najiuliza ana data sahihi kuhusu masuala ya umeme?Ingekuwa weww umepata chance ungeacha?
Kwenye Siasa hakuna kustaafu ...
Nashangaa watu wanaopigania ukomo wa siasa kama vile wanapewa pension...
Ukiwa pensionable kwenye siasa ndio una staafu ... Hizo nyingine ni porojo
Wasira kuna kipindi alikuwa coordinator wa mawaziri kipindi cha JK,
Sasaivi ni masta of all, anacheka na wowote
Mzee wasira tupe maneno ๐
Hata kama, ndio afafanue mikakati ya TANESCO kwani yeye ni MD?Ingekuwa weww umepata chance ungeacha?
Kwenye Siasa hakuna kustaafu ...
Nashangaa watu wanaopigania ukomo wa siasa kama vile wanapewa pension...
Ukiwa pensionable kwenye siasa ndio una staafu ... Hizo nyingine ni porojo
Wasira kuna kipindi alikuwa coordinator wa mawaziri kipindi cha JK,
Sasaivi ni masta of all, anacheka na wowote
Mzee wasira tupe maneno ๐
Kwani si maneno tu, uhitaji kuwa mtaalam bongo๐Najiuliza ana data sahihi kuhusu masuala ya umeme?