the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Dodoma amesema wamempa jina la "Marugu" Makamu mwneyekiti wa CCM bara Stephen Wasira likiwa na maana ya Jemedari ama mpambanaji wa vita, aidha amesema wanamshukuru Chief Hangaya ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Wasira kuwa makamu mwenyekiti.
Soma: Pre GE2025 - Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025