Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Dodoma amesema wamempa jina la "Marugu" Makamu mwneyekiti wa CCM bara Stephen Wasira likiwa na maana ya Jemedari ama mpambanaji wa vita, aidha amesema wanamshukuru Chief Hangaya ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Wasira kuwa makamu mwenyekiti.
Mwenyekiti wa machifu mkoa wa Dodoma amesema wamempa jina la "Marugu" Makamu mwneyekiti wa CCM bara Stephen Wasira likiwa na maana ya Jemedari ama mpambanaji wa vita, aidha amesema wanamshukuru Chief Hangaya ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan kwa kumteua Wasira kuwa makamu mwenyekiti. View attachment 3211190
Katika kumbukumbu zangu hajawahi fanya chochote katika nchi hii hata cha kumfanya aongee mbele ya hadhara,,,, zaidi nakumbuka skendo ya Mbolea na Mbegu akiwa Waziri wa Kilimo...