Wasira azungumza na balozi wa Korea

Chifu mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2025
Posts
422
Reaction score
489
WASIRA AZUNGUMZA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA NCHINI.

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)
Ndg. Stephen M. Wasira amefanya mazungumzo na Mhe. Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini, Leo tarehe 18/2/2025 katika Ofisi ndogo ya makao makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam.

Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamebadilishana mawazo katika namna mbalimbali yanayohusu ushirikiano wa nchi ya Tanzania na Korea.
 
huyo mama mbona kama anataka kukimbia anaogopa nini?
 
Sasa sijui huyo balozi atajua watanzania wote tunae akili za ajabu kama huyo wasira
 
Korea ipi?.

Kama ni Kusini Kwa lengo la Miradi , wakorea ni wamarekani, Tume huru ya uchaguzi .
 
Korea imemzidi mpaka kuwa na wasi wasi na raisi ila yeye sijui alikuwa anaongea chama kimoja kijiunge na kiduku.
 
huyo mama mbona kama anataka kukimbia anaogopa nini?
Wee MUONGO! Mama wa watu katulizana anapokea madini adhimu toka kwa makamu mwenyekiti wa chama wewe eti anataka kukimbia! Angekuwa anataka kukimbia si hiyo handbag yake ingekuwa angalau kaishika mikononi?!
 
Korea ipi?.

Kama ni Kusini Kwa lengo la Miradi , wakorea ni wamarekani, Tume huru ya uchaguzi .
Wawapambanie mna kipi cha kuwapa.....labda angekua babu Biden angelazimisha muwalipe kwa marinda yenu ila Trump hana hizo habari.......Ukraine walitegemea kitonga sahivi vichwa vinauma......mzungu hakusaidii kama huna cha maana kwake na yeye afaidike, sasa huku wanajua hata wakiweka nguvu zao watu wenyewe wanaotaka kupewa boost ni ma keyboard warriors tu itakua kazi bure
 
자유둭고 κ³΅μ •ν•œ μ„ κ±°κ°€ μžˆμ„ κ²ƒμž…λ‹ˆλ‹€. κ·Έλž˜μ„œ μš°λ¦¬λŠ” λ‹Ήμ‹ μ˜ 지원을 μš”μ²­ν•©λ‹ˆλ‹€
alisema Stephan Wassira
 
Atamaliza balozi zote mpaka za nyumba kumi..
 
well done ndugu vice chairman πŸ’ͺπŸ‘Š
 
자유둭고 κ³΅μ •ν•œ μ„ κ±°κ°€ μžˆμ„ κ²ƒμž…λ‹ˆλ‹€. κ·Έλž˜μ„œ μš°λ¦¬λŠ” λ‹Ήμ‹ μ˜ 지원을 μš”μ²­ν•©λ‹ˆλ‹€
alisema Stephan Wassira
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hao mabalozi siku wakienda ofisi za chadema..watapewa onyo kali au hata kufukuzwa nchini kwa kisingizio wanaingilia mambo ya ndani ya nchi kwa kujihusisha na siasa kisa wana ukaribu na upinzani ila mabalozi wakiwa upande wao wala hawaoni ubaya ndokwanza atapewa shati la kijani.!
 
Inamana huyu mzee yupo fresh ki akili kuliko Lucas Mwasambwanda hadi akamkoseshe teuzi ukifikilia swagger na mijingambo yake yakumpigapiga brush Samia kila dakika??
 
Write your reply...
HII NCHI NI NGUMU SANA.
Maguire akifunga bao la mpira, anaweza sababisha hadi tuone kuwa mpira ni kazi nyepesi..sasa wacha ajichasambi ndo utajua hujui
 
.
 

Attachments

  • Gorille_des_plaines_de_l'ouest_Γ _l'Espace_Zoologique.jpg
    167.6 KB · Views: 1

..wametoa mwanya kwa Chadema nao kupata wasaa wa kuongea na Mabalozi.

..Na upo uwezekano wa Mabalozi kuwaelewa zaidi hoja za Chadema kuliko CCM.
 
Asije akalala tu in due course
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…