Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hiyo ndiyo miradi ya awamu ya mamaKwani hawana ofisi hapo dodoma mpaka ijengwe mpya
Hii ndagu bado ipo tuMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema chama hicho hakikuundwa ili kuwa chama cha muda bali kiliundwa ili kuwa chama cha kudumu
Akizungumza leo Mei, 28 2025 wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa jengo jipya la Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma Wasira amesema “chama chetu kilipoanzisha tuliweka kaulimbiu tunasema kidumu Chama cha Mapinduzi maana yake hakikuundwa kuwa chama cha muda kiliundwa kuwa chama ha kudumu”
"Na viashiria vya kudumu kwa Chama cha Mapinduzi ni kuwa na vijana na kwa hiyo kitakuwa kinadumu kupitia vijana" ameongeza Wasira
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha ameeleza kuwa uamuzi wa kuweka jiwe hilo la msingi ni utekelezaji wa maono ya kuwa na mahali ambapo chama hicho kitakuwa na anuani ya kudumu.
Mwenyezi Mungu ampe neema ya kuishi, angalau miaka mitano tu. Kwa mwendo huu uliopo chini ya Samia na Genge lake, huyu Mzee "Gari Bovu", hataitambua tena hiyo CCM anayoiongelea leo."Na viashiria vya kudumu kwa Chama cha Mapinduzi ni kuwa na vijana na kwa hiyo kitakuwa kinadumu kupitia vijana" ameongeza Wasira
Wasira kapewa kazi ya kumwondolea heshima katika umri wake huu mkubwa."Na viashiria vya kudumu kwa Chama cha Mapinduzi ni kuwa na vijana na kwa hiyo kitakuwa kinadumu kupitia vijana"
Huyu wamemtoa wodini huyuMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema chama hicho hakikuundwa ili kuwa chama cha muda bali kiliundwa ili kuwa chama cha kudumu