Wasira: CCM tumepewa ridhaa ya Wananchi kuongoza dola

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara, Stephen Wasira amekanusha chama hicho kutumia vyombo vya Dola kujinufaisha kisiasa.

Ameyasema hayo katika mahojiano maalum na UTV.
Your browser is not able to display this video.
 
Wazee wapumbavu ,WASIRA ,BUTIKU,KABUDI,CHANDE, KIKWETE
 
Hiyo ridhaa wamepewa na sisi wananchi, au na vyombo vya dola na tumeccm?
 
Mwenye kujua tofautinya dola na serikali anifafanulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…