Pre GE2025 Wassira: CCM tutaendelea kushika dola kwa kupigiwa kura sio kwa mtutu wa bunduki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki.

Pia, amesema CCM imebeba maono na fikra za ukombozi na kwamba itaendelea kuwa wakili wa kuwatetea Watanzania.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira aliyasema hayo leo Februari 10, 2025 alipokuwa akizungumza na wananchi wa Jimbo la Busega mkoani Simiyu alipokuwa akielekea jijini Mwanza.

“Katika uchaguzi mkuu mwaka huu CCM tutashinda maana hakuna wa kupambana na CCM. Mtaji wetu ni kushika dola na dola hatuishiki kwa bunduki bali tunaishika kwa kura na kura zinapigwa na wana CCM na wasio wana CCM,” alisema Wasira

Akieleza zaidi kuhusu uimara wa CCM amesema unatokana na muungano wa vyama vilivyoleta ukombozi wa nchi ambavyo ni TANU na Afro-Shiraz Party (ASP).

“Kwa hiyo wanachama na viongozi wa Chama tunabeba maono ya vyama vilivyopita na sisi ndio tunaendeleza kazi ya uhuru, kuleta mabadiliko katika maisha ya watu," alisema.

Kuhusu wagombea ndani ya Chama alisema tayari CCM imeshapata wagombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Rais Dk. Samia Suluhu Hassan), Rais wa Zanzibar (Dk. Hussein Ali Mwinyi) na Mgombea Mwenza (Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi).

===

View attachment 3232244

== ==
Mzee hawezi kumsahau Bulaya huyu
 
Kwa nini wanaogopa kuwa na katiba yenyewe misingi ya mfumo wa vyama vingi tofauti na ilivyo sasa
 
We Mzee wewe, CCM haijawahi kushinda uchaguzi wowote ncini toka 1995 zote ni wizi, udanganyifu mtupu.
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki.

Pia, amesema CCM imebeba maono na fikra za ukombozi na kwamba itaendelea kuwa wakili wa kuwatetea Watanzania.

Wasira aliyasema hayo leo Februari 10, 2025 alipokuwa akizungumza na wananchi wa Jimbo la Busega mkoani Simiyu alipokuwa akielekea jijini Mwanza.

“Katika uchaguzi mkuu mwaka huu CCM tutashinda maana hakuna wa kupambana na CCM. Mtaji wetu ni kushika dola na dola hatuishiki kwa bunduki bali tunaishika kwa kura na kura zinapigwa na wana CCM na wasio wana CCM,” alisema Wasira

Akieleza zaidi kuhusu uimara wa CCM amesema unatokana na muungano wa vyama vilivyoleta ukombozi wa nchi ambavyo ni TANU na Afro-Shiraz Party (ASP).

“Kwa hiyo wanachama na viongozi wa Chama tunabeba maono ya vyama vilivyopita na sisi ndio tunaendeleza kazi ya uhuru, kuleta mabadiliko katika maisha ya watu," alisema.

Kuhusu wagombea ndani ya Chama alisema tayari CCM imeshapata wagombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Rais Dk. Samia Suluhu Hassan), Rais wa Zanzibar (Dk. Hussein Ali Mwinyi) na Mgombea Mwenza (Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi).
 
Utasikia wanao fuata baada ya kubuva na kichele

natangaza matokeo kama nilivyo yapokea.

elewa sentesi "kama nilivyo yapokea"

Hapo yaliyo pokelewa yamesha chakatwa na vijana wa goli la mkono
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki.

Pia, amesema CCM imebeba maono na fikra za ukombozi na kwamba itaendelea kuwa wakili wa kuwatetea Watanzania.

Wasira aliyasema hayo leo Februari 10, 2025 alipokuwa akizungumza na wananchi wa Jimbo la Busega mkoani Simiyu alipokuwa akielekea jijini Mwanza.

“Katika uchaguzi mkuu mwaka huu CCM tutashinda maana hakuna wa kupambana na CCM. Mtaji wetu ni kushika dola na dola hatuishiki kwa bunduki bali tunaishika kwa kura na kura zinapigwa na wana CCM na wasio wana CCM,” alisema Wasira

Akieleza zaidi kuhusu uimara wa CCM amesema unatokana na muungano wa vyama vilivyoleta ukombozi wa nchi ambavyo ni TANU na Afro-Shiraz Party (ASP).

“Kwa hiyo wanachama na viongozi wa Chama tunabeba maono ya vyama vilivyopita na sisi ndio tunaendeleza kazi ya uhuru, kuleta mabadiliko katika maisha ya watu," alisema.

Kuhusu wagombea ndani ya Chama alisema tayari CCM imeshapata wagombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Rais Dk. Samia Suluhu Hassan), Rais wa Zanzibar (Dk. Hussein Ali Mwinyi) na Mgombea Mwenza (Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi).
When walifanya hivyo last time?
 
Analazimisha sana kuendana na kasi ya vijana, kila siku vijembe... mbaya zaidi anaowashambulia hawamjibu. Amebaki na Age Go politics
 
Hilo halina ubishi,Mama Samia,Kipenzi cha Watanzania,Mama wa Taifa,atarudi ikulu kwa kishindo kikuu, na wapinzani wataangukia pua.
Watanzania wote sasa hivi,letu ni moja tu,kura yetu ni kwa Mama tu,hakuna mwingine zaidi yake
2025,Kura yetu kwa Mama.
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki.

Pia, amesema CCM imebeba maono na fikra za ukombozi na kwamba itaendelea kuwa wakili wa kuwatetea Watanzania.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wasira aliyasema hayo leo Februari 10, 2025 alipokuwa akizungumza na wananchi wa Jimbo la Busega mkoani Simiyu alipokuwa akielekea jijini Mwanza.

“Katika uchaguzi mkuu mwaka huu CCM tutashinda maana hakuna wa kupambana na CCM. Mtaji wetu ni kushika dola na dola hatuishiki kwa bunduki bali tunaishika kwa kura na kura zinapigwa na wana CCM na wasio wana CCM,” alisema Wasira

Akieleza zaidi kuhusu uimara wa CCM amesema unatokana na muungano wa vyama vilivyoleta ukombozi wa nchi ambavyo ni TANU na Afro-Shiraz Party (ASP).

“Kwa hiyo wanachama na viongozi wa Chama tunabeba maono ya vyama vilivyopita na sisi ndio tunaendeleza kazi ya uhuru, kuleta mabadiliko katika maisha ya watu," alisema.

Kuhusu wagombea ndani ya Chama alisema tayari CCM imeshapata wagombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Rais Dk. Samia Suluhu Hassan), Rais wa Zanzibar (Dk. Hussein Ali Mwinyi) na Mgombea Mwenza (Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi).

View attachment 3232244
Hizo Kura wanapigiwa wapi Kila uchaguzi Polisi wanaongeza karatasi za Kura?
 
Akili ya Mzee Wasira haijazeeka kama CHADOMO
 
Back
Top Bottom