Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amepinga vikali madai ya vyama vya upinzani kuhusu wizi wa kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa, amesema vyama hivyo, hususan Chadema, vimedai kuwa uchaguzi huo ulikumbwa na udanganyifu uliowanyima ushindi wagombea wao.
Hata hivyo, Wasira amekanusha tuhuma hizo akisema kuwa Chadema hakikuwa na wagombea na hawakufanya kampeni katika maeneo mengi, hivyo haiwezekani kudai waliibiwa kura.
Hata hivyo, Wasira amekanusha tuhuma hizo akisema kuwa Chadema hakikuwa na wagombea na hawakufanya kampeni katika maeneo mengi, hivyo haiwezekani kudai waliibiwa kura.