Unaweza ukawa ni mvutano mpya kuhusu Katiba kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira, kusema kuwa hoja ya kutaka mabadiliko ya Katiba kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 imechelewa.
Wasira ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Januari 23, 2025 jijini Dodoma katika hafla ya mapokezi katika makao makuu ya chama hicho, ikilenga matamshi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, ambaye alisema, "hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi."
Akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Lissu alisisitiza kuwa mabadiliko ya Katiba ni lazima kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Mvutano huu unaonyesha changamoto zinazozikumba juhudi za kutafuta maridhiano ya kitaifa, huku uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 ukikaribia.
Lissu, alisema Chadema inakubaliana na wazo la maridhiano, lakini kwa sharti kuwa yatakuwa na mwelekeo chanya.
Alisema: "Kama hakuna Katiba mpya, basi hakuna uchaguzi."

Katika maisha hakuna kuchelewa, mbona vile tunavyo vipenda tunavikimbilia, tuna diliki hata kulala mlango wazi, mfano hai ni DP WORlD , mbona tuliweza kulikimbiza, akili zile zilezile hazipo?

CCM hawawezi kukubali Katiba Mpya kwa mazungumzo. Ndo mana ilikuwa ni lazima TUNDU LISSU awe Mwenyekiti wa Chadema ili aongoze haya mapambano kipindi hiki.
Katika maisha hakuna kuchelewa, mbona vile tunavyo vipenda tunavikimbilia, tuna diliki hata kulala mlango wazi, mfano hai ni DP WORlD , mbona tuliweza kulikimbiza, akili zile zilezile hazipo?
Hata gas ya Mtwara serikali ilipeleka mswada wa dharula bungeni, kama ilivyo ada kwa sababu walikuwa wengi bungeni mswada ukapita. Nipo upande wako jombaa...ni kweli hakuna linaloshindikana chini ya jua!
Unaweza ukawa ni mvutano mpya kuhusu Katiba kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Stephen Wasira, kusema kuwa hoja ya kutaka mabadiliko ya Katiba kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 imechelewa.
Wasira ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Januari 23, 2025 jijini Dodoma katika hafla ya mapokezi katika makao makuu ya chama hicho, ikilenga matamshi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, ambaye alisema, "hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi."
Akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Lissu alisisitiza kuwa mabadiliko ya Katiba ni lazima kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Mvutano huu unaonyesha changamoto zinazozikumba juhudi za kutafuta maridhiano ya kitaifa, huku uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 ukikaribia.
Lissu, alisema Chadema inakubaliana na wazo la maridhiano, lakini kwa sharti kuwa yatakuwa na mwelekeo chanya.
Hata gas ya Mtwara serikali ilipeleka mswada wa dharula bungeni, kama ilivyo ada kwa sababu walikuwa wengi bungeni mswada ukapita. Nipo upande wako jombaa...ni kweli hakuna linaloshindikana chini ya jua!
Jamii mafuvu yakirudishiwa akili katiba mpya itapatikana tu waache wanunue muda kumbuka tunaishi kwenye jamii ya bora liende, yaani kanyaga twende, jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi
Jamii ambayo inaambiwa CHADEMA, imechelewa kudai katiba mpya wengine huko wakipiga vigele gele, swali hivi katiba mpya itakuwa ya CHADEMA ama ya nchi
Binadamu hujisabishia changamoto kwa ujinga, uzembe, uvivu, ulevi, ushamba, wivu, upumbavu,, pia binadamu huyo huyo huwasabishia changamoto kwa wengine kwa makusudi ama kwa kutokujua
Tumefika hapa tulipo kwasababu ya unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a. K.a kujizima data ama kuahirisha kufikiri kizalendo, (uchawa)