Wasira: Kuna watu wanadhani Zanzibar inapendelewa kwenye Muungano

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Akizungumza leo Septemba 8, 2026 kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira amesema:

"Huwezi kusema Zanzibar kuna problem ambayo haihusu bara, au bara kuna matatizo ambayo Zanzibar haihusiki, ni ngumu. Na hasa sasa ni ngumu zaidi kuliko ilivyokuwa zamani. Kwa sababu ukihesabu Wazanzibari wanaoishi bara wanaweza kuwa karibu sawa na waliopo Zanzibar. Huo ndio ukweli. Ukienda Tanga pale mijadala ni ya haramu.

Siku hizi wako mpaka Kyerwa. Wazanzibari. Na wanaishi vizuri tu, wameoana. That's the beauty of the Union. Wakati mwingine, yangu hapa, nazungumza mapinduzi na nazungumza muungano, wakati mwingine generation hii mpya wanapata tabu sana kuelewa. Muungano huu una faida gani? Na hii swali inaulizwa kote, inaulizwa Zanzibar, inaulizwa na nini. Lakini ukweli ni kwamba amani na utulivu wa Zanzibar na utulivu wa Jamhuri ya Muungano vinategemeana."

Aidha ameongeza kuwa, "Hawa wengine wameungana. Hawa inakuwa sovereign. Na kama inakuwa sovereign, huu ndio mwisho wa United Republic of Tanzania? Hawa inakuwaje? Hili ni jambo kubwa ambalo nalo usipolifanyia ufafanuzi linayumbisha watu. Na inaleta hata sisi huku nje, hili mgogoro wenzetu wengine wanasema wanataka mkataba mpya.

Sasa wengine wanasema wanataka Tanganyika. Maana ukisema mkataba mpya, unazungumzia sovereign of Tanzania. Lakini sovereign, hakuna sovereign of Tanganyika.

Kuna sovereign ya United Republic of Tanzania. Kwa hiyo, tukiweka hivi katika maana ya elimu, mtatusaidia vile vile kujibu hoja za wale ambao wanadhani Zanzibar inapendelewa katika muungano. Wengine wanasema inaonewa, lakini wengine wanasema inapendelewa."

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu Wasira anatakiwa aanguke , azimie na kuzirai kabisaa!
 
Anaona hata aibu kuitamka Tanganyika. Inasikitisha sana
 
Wasira hana kitu cha maana cha kutwambia watu wenye akili zetu timamu
 
Aliyemwelewa atueleweshe.
Au ndiyo athari za umri mkubwa zinamkabili?
 
Moja ya WAZEE WA HOVYO kwanini kifo hakichukui WAZEE WA HOVYO namna hii

Huyu si ndio alikuaga anasinzia bungeni

Ni muda Sasa huduma ya kifo imchukue huyu mzee kutuondolea WAZEE WA pumbavu wa kaliba hiii mwenyezi Mungu mpumzishe huyu mzee
 
CCM Chanzo Cha Matatizo
 
Kwa nini mtu akiwa upinzani anaongea sense, akienda CCM anabadirika, anaongea upuuzi, na akili zote zinapotea. Huyu aliingia NCR karudi CCM mwone anvyojipinga mwenyewe, sawa kabisa na Kabudi na Kitilya Mkumbo. CCM kuna nini?
 
brilliant Stephen Masatu Wasira

excellent explanations of the day πŸ”₯ πŸ‘Š
 
Lizee lililo goma kustaafu, ndio maana Makongoro alilichamba kisomi na haliku elewa.
Zee hovyo hili.
 
Toka muungano hakuna cha maana kimefanyika huku Tanganyika, sahivi Samia anawafinyia kisawasawa mnaanza kulilia chooni.
Had 2030 Zanzibar kutakuwa hakuna road ya vumbi hata moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…