Wasira kuvaaa hivi alikusudia au?

View attachment 225783Mbona sioni tatizo hapo, kavaa sawa ila tatizo kashusha bega moja kimikogo, au kuna upande mmoja kaajaza vitu vizito vimevuta koti; vinginevyo anatukumbushia swaga la enzi za ujana wake!!!
 
Inaonekana hta Mpiga picha alifanya makusudi kutomwambia arekebishe koti
 
Najiuliza... hivi hakukua na mtu wa kumwambia? Au waliomuona walifurahi ili wamcheke?
Binadamu sie

Mi nilidhani ni photoshop, lakini pia nahisi waliona halafu wakamuacha tu mtu mzima aadhirike.
 
Kama hawezi kufunga vifungo vya koti lake, atauweza Urais huyu!? Tumechoshwa na dhaifu, wezi na wahuni ndani ya Ikulu. Wassira tupa kulee!

Mtamuua huyu mzee kwa presha mwenzenu keshachagua hadi poz la kubandikwa kwenye noti ya ten sauzend
 
Sio mbaya sana, kuna nyakati fulani huko kenya, Kibaki alivukwa na suruali. Tena akiwa anahutubia Taifa.

Sijaelewa! Yaani sio mbaya kwa sababu Kibaki alivukwa na suruali au? Hakuna nzuri zote ni mbaya tena mbaya sana..
 
Kama mugabe amafukuza walinzi 27 baada ya kujikwaa na kuanguka.
Tusubiri kusikia wasira kawafukuza fashion advisor wake baada ya kufunga vishikizo vibaya.
 
hatufai URAIS atakuja kuacha NYETI zinakongoya mbele ya hadhara teh teh
 
Yule babu anatafuta umaarufu kuwa naye aligombea uraisi. Nani anataka mtu ambaye ameshindwa hata kusimamia familia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…