Wasira: Magufuli hakuwashughulikia wapinzani, walishughulikiana. Ukimtukana Rais na rais ana react, naye ni mtu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara.

"Na Tundu Lissu alikuwa akisema haijapata kutokea kuwa na Rais wa ajabu kama Magufuli kama unamuita wa ajabu. Na kama unamuita wa ajabu yeye atakuwa anaujua uajabu wake Mimi siufahamu.

"Kwahiyo matokea hayo yaliyotokea. Wapinzani na JPM walishughuliana. Ukimtukana Rais na rais ana reacts. Rais naye ni mtu. Ukimtukana na yeye anakutukana"

Kwahiyo hili zimwi linakiri kuwa Magufuli ndiye alimpiga risasi Lissu kwa sababu alimuita Rais wa ajabu.
 
Hayati Magufuli tunamfahamu!

TUNDU Lissu tunamwelewa!

Mzee Wasira ni nani na anamtumikia nani🤔
 
Back
Top Bottom