Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Oct 15, 2025 #1 Taifa halijagawanyika… anayefikiri limegawanyika, yeye mwenyewe ndiye amegawanyika…” - Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, akielezea hali ya siasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Your browser is not able to display this video.
Taifa halijagawanyika… anayefikiri limegawanyika, yeye mwenyewe ndiye amegawanyika…” - Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, akielezea hali ya siasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Your browser is not able to display this video.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,104 Reaction score 75,552 Oct 15, 2025 #2 Nyara toka hifadhi ya Gombe nayo inapiga chafya. Pumbavu kabisa
azithromycim JF-Expert Member Joined Apr 18, 2019 Posts 580 Reaction score 1,297 Oct 15, 2025 #3 Taifa haligawanyiki kama kwenye tetemeko la ardhi. Hapa tulipo tumegawanyika kuna tunatiki, kuna no reforms no election na kuna kulinda kura.
Taifa haligawanyiki kama kwenye tetemeko la ardhi. Hapa tulipo tumegawanyika kuna tunatiki, kuna no reforms no election na kuna kulinda kura.