Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya Tanzania, na wana Vibaraka ndani ya Tanzania ambao wanasema CCM mmekaa sana madarakani. Na mimi nawauliza tulipodai uhuru kwanza mlikuwa wapi? na nani ambaye ulisaini naye mkataba kwamba tukijitawala tutakuwepo kwa muda fulani, nani aliwaambia?"
"Sisi tunaongoza dola kwa idhini ya Watanzania na Watanzania wakituendelea kutuamini tutaendelea kuongoza dola na mtu yeyote asituulize kwanini tunaendelea kuwepo, wanasema mambo ya ajabu na wengine ni vibaraka wakubwa wakwenda kutuletea utamaduni usioeleweka wanasema Wanawake waoane kwa Wanawake na Wanaume waoane kwa Wanaume, hayo mambo ya Ushoga wapi na Mungu aliumba watu tofauti kwa kazi tofauti"
"Ndio maana Rais Museveni aliwaambia wakubwa wa Ushoga, kwamba akikuta mashoga atawafungia jela na atawatoa endapo mwanaume mmoja atapata mimba..."
Huyu Mzee kazeeka vibaya sana, ushahidi wa hayo anayosema uko wapi? Ni nani atakayependa Tigo/Yas ya huyu mzee? Pigeni kura, vinginevyo ni siasa za maji taka tu kama za Kagame kusema kwamba hajui kama askari wake wako kongo au la.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya Tanzania, na wana Vibaraka ndani ya Tanzania ambao wanasema CCM mmekaa sana madarakani. Na mimi nawauliza tulipodai uhuru kwanza mlikuwa wapi? na nani ambaye ulisaini naye mkataba kwamba tukijitawala tutakuwepo kwa muda fulani, nani aliwaambia?"
"Sisi tunaongoza dola kwa idhini ya Watanzania na Watanzania wakituendelea kutuamini tutaendelea kuongoza dola na mtu yeyote asituulize kwanini tunaendelea kuwepo, wanasema mambo ya ajabu na wengine ni vibaraka wakubwa wakwenda kutuletea utamaduni usioeleweka wanasema Wanawake waoane kwa Wanawake na Wanaume waoane kwa Wanaume, hayo mambo ya Ushoga wapi na Mungu aliumba watu tofauti kwa kazi tofauti"
"Ndio maana Rais Museveni aliwaambia wakubwa wa Ushoga, kwamba akikuta mashoga atawafungia jela na atawatoa endapo mwanaume mmoja atapata mimba..."
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya Tanzania, na wana Vibaraka ndani ya Tanzania ambao wanasema CCM mmekaa sana madarakani. Na mimi nawauliza tulipodai uhuru kwanza mlikuwa wapi? na nani ambaye ulisaini naye mkataba kwamba tukijitawala tutakuwepo kwa muda fulani, nani aliwaambia?"
"Sisi tunaongoza dola kwa idhini ya Watanzania na Watanzania wakituendelea kutuamini tutaendelea kuongoza dola na mtu yeyote asituulize kwanini tunaendelea kuwepo, wanasema mambo ya ajabu na wengine ni vibaraka wakubwa wakwenda kutuletea utamaduni usioeleweka wanasema Wanawake waoane kwa Wanawake na Wanaume waoane kwa Wanaume, hayo mambo ya Ushoga wapi na Mungu aliumba watu tofauti kwa kazi tofauti"
"Ndio maana Rais Museveni aliwaambia wakubwa wa Ushoga, kwamba akikuta mashoga atawafungia jela na atawatoa endapo mwanaume mmoja atapata mimba..."
Anadhani hiyo kwa sasa ni fimbo! Kumbe kweli uzee ni mbaya,umekosa jipya hilo kabla TL hajapigwa risasi bado wewe unaona ni fimbo inayofaa kumchapia! Pole.
Kila mtu anaujua ukweli TL siyo shoga na siyo muumini w ushoga ila ni muuumini wa haki za binadamu,kitu ambacho hiyo serikalini unayoipigania imesaini kulinda haki hizo ukiwmo ushoga. Kama huutaki ushoga jiuzuru leo kwa kuwa serikali ya chama chako imesainia tamko la kuwalinda mashoga, vinginevyo na wewe ni shoga tu. Umeayataka mwenyewe yapokee
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, akizungumza katika Kongamano la Wanawake lililofanyika jijini Dodoma leo, Februari 4 amedai "Siku hizi wako watu nje ya Tanzania, na wana Vibaraka ndani ya Tanzania ambao wanasema CCM mmekaa sana madarakani. Na mimi nawauliza tulipodai uhuru kwanza mlikuwa wapi? na nani ambaye ulisaini naye mkataba kwamba tukijitawala tutakuwepo kwa muda fulani, nani aliwaambia?"
"Sisi tunaongoza dola kwa idhini ya Watanzania na Watanzania wakituendelea kutuamini tutaendelea kuongoza dola na mtu yeyote asituulize kwanini tunaendelea kuwepo, wanasema mambo ya ajabu na wengine ni vibaraka wakubwa wakwenda kutuletea utamaduni usioeleweka wanasema Wanawake waoane kwa Wanawake na Wanaume waoane kwa Wanaume, hayo mambo ya Ushoga wapi na Mungu aliumba watu tofauti kwa kazi tofauti"
"Ndio maana Rais Museveni aliwaambia wakubwa wa Ushoga, kwamba akikuta mashoga atawafungia jela na atawatoa endapo mwanaume mmoja atapata mimba..."
Tena hapo ushoga ndio atulie....akelea vibaya sana watoto wake mmoja kiume mkubwa tena 50yrs plus ni..upinde ....alikuwaga bank mojawapo kubwa......anajulikana hadi nyumbanii....kwao jinga sana hiki Gombe....asije kusema lolote upinde sebuleni kwake aibuuui