Pre GE2025 Wasira: Wakati wao (wapinzani) wakiendelea kuchezea ndevu sisi tunaendesha dola

Pre GE2025 Wasira: Wakati wao (wapinzani) wakiendelea kuchezea ndevu sisi tunaendesha dola

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Akizungumza na wananchama wa CCM mkoa wa Dodoma Wasira amesema kuwa CCM kushika dola na kuongoza ni lazima hii ni kutokana na idaid kubwa ya wananchama walio nao na ambao wanaendelea kujiandikisha. Hivyo wakati waapinzani wanaendelea kuchea ndevu wao wanazidi kujipanga kuendesha dola.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Mambo Yameanza Mapema Mzee Wasira Amka Usingizini
 
Hiyo dola wameanza kuendesha leo kwani

Ova
Mindset za aina hii ni janga katika bara letu la Afrika. Badala ya kuwaza shida na kila aina ya shuruba wanazokumbana wananchi yeye anawazia kupiga jembe wapinzani ambao hawana madhara yoyote au niseme kuwepo kwao ni faida. Unaweza kujikuta unamtuka mzee mzima kama huyu. Hawa ndiyo watu wa CCM, hovyo kabisa.
 
Akizungumza na wananchama wa CCM mkoa wa Dodoma Wasira amesema kuwa CCM kushika dola na kuongoza ni lazima hii ni kutokana na idaid kubwa ya wananchama walio nao na ambao wanaendelea kujiandikisha. Hivyo wakati waapinzani wanaendelea kuchea ndevu wao wanazidi kujipanga kuendesha dola.
View attachment 3211198
View attachment 3211202
Yaan hii nchi haiishi vituko anayo yaongea ni kwa faida ya TUMBO LAKE..

Ukisikia mzee OVYO ndio aina ya Hawa wazee..

Yaan hii ndio think tank (brainy ya CCM) Kama taifa huyu mzee Hana uchungu na hili taifa

Kwanza 20 years to come HATO kuwepo Tena..hata upeo wake Bado ni mdogo Sanaa/ akili zimezeeka pia AKILI ZAKE ZIMELOWANA.
 
Kudadadadeq
 
Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    1.1 MB · Views: 1
Back
Top Bottom