the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Wachache sana wanaweza kukuelewa aisee.Dada Jane Goodall hajaripoti kupotekewa na nyara huko Gombe?
Dada Jane Goodall hajaripoti kupotekewa na nyara huko Gombe?
Wachache sana wanaweza kukuelewa aisee.
Mindset za aina hii ni janga katika bara letu la Afrika. Badala ya kuwaza shida na kila aina ya shuruba wanazokumbana wananchi yeye anawazia kupiga jembe wapinzani ambao hawana madhara yoyote au niseme kuwepo kwao ni faida. Unaweza kujikuta unamtuka mzee mzima kama huyu. Hawa ndiyo watu wa CCM, hovyo kabisa.Hiyo dola wameanza kuendesha leo kwani
Ova
Yaan hii nchi haiishi vituko anayo yaongea ni kwa faida ya TUMBO LAKE..Akizungumza na wananchama wa CCM mkoa wa Dodoma Wasira amesema kuwa CCM kushika dola na kuongoza ni lazima hii ni kutokana na idaid kubwa ya wananchama walio nao na ambao wanaendelea kujiandikisha. Hivyo wakati waapinzani wanaendelea kuchea ndevu wao wanazidi kujipanga kuendesha dola.
View attachment 3211198
View attachment 3211202