Wasira yupo toka kipindi cha Nyerere!

Upo wasifu bora wa mzee Wassira kuliko huu?

View attachment 3205376

Kumbe ndiyo maana, mwamba kung'atuka hakumuingii akilini:

"Yuko ma "role models" wake!"
Kamati ya Usalama na maadili ya ccm inaongozwa na makamu mwenyekiti.

Chadema kamati kama hiyo pia inaongozwa na Lisu kikatiba, lakini Lisu badala ya kutumia mamlaka yake ameamuwa kuwa mropokaji tu wakati anayo mamlaka ya kikatiba kusimamia nidhamu.
 
Hayo yalikuwa ya kwenye mdahalo jana:

Kwani kuna m CCM aliyeulaza upinde?

Kwamba sasa yuko anapiga porojo kama ilivyo kawaida ya ma CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…