Tetesi: Wasiwasi huenda mabenki yakapungukiwa mitaji

Tetesi: Wasiwasi huenda mabenki yakapungukiwa mitaji

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
7,295
Reaction score
3,950
Wana jf.

Benki ya twiga bancorp yapungukiwa mtaji hasa kutokana na wadai kutorejesha fedha walizokopa benki kwa wakati na benki kupungukiwa na mitaji ya kujiendesha, hivyo serikali iliongeza fedha za kuendesha benki hiyo lakini imeshindwa kujiendesha, hatua hiyo huenda ikazikumba benki nyingine hivyo ni bora ziwabane wadeni wake mapema warejeshe fedha hizo walizowakopa wateja wao haraka na kwa ufuatiliaji wa hali ya juu isitokee kama kwa twiga bancorp
 
Mara tetesi...ndani unasema gavana kasema ...uzi unasema mabenki ndani only twiga Bancorp daaaaaa....

Bank panic????
 
Serikali imeshindwa kuendesha benki sijui pesa za mifuko zinazoenda kwenye viwanda kama zitapona
 
Back
Top Bottom