johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Watanzania wengi wanahoji kama Uenyekiti wa Chadema tu ulimtoa Imani na kuondoa Ukomo wa Uongozi itakuwaje Siku akiingia Ikulu?!
Wengi wanadhani ataondoa Mihula ya Rais Kwenye katiba na kufanya iwe nchi ya kifalme Warithi wa uRais wawe watoto wake
Mlale unono 😀
Wengi wanadhani ataondoa Mihula ya Rais Kwenye katiba na kufanya iwe nchi ya kifalme Warithi wa uRais wawe watoto wake
Mlale unono 😀