power breakfast now days ni kipindi cha MATANGAZO
BABRA HAMNA KITU..na uzungu wake kaz kuwakaripia wenzake km watoto weweeee acha ...wewe unatafuna nin...afu asome matangazo bas ngoma inaisha apo
PJ akija na magazeti yake ya CHAMA ...basi kamaliza....yaan akuna kitu kwa kwELI...sjui hawana muda wa kutafuta MADA zenye mashiko?
yaan wapo wapo tu matangazo meeeeeeeeeeeeeeeeeng na mda si mrefu watu hawataleta tena matangazo cz kipind kitakosa wasilkilizaji as t used 2b
babra dada yangu acha uswangilsh mama,....ebu ingia kunako matabu,mamtandao na uongeee na watu wenye knowledge mbalimbali ili upate UFUNUO bin ufahamu wa nini cha kufanya ..issue gan inahiti mjin apa..uisimamishe vp hoja...uitetee vip...uwavute hadhira vip ili wawe na wewe sambamba lakin kwa swaga za sasa ivi za kuwa MWALIMU WA NIDHAMU wa kipindi cha breakfast mmh m worried km unapanda au unashuka....
tok 2pipo wenye ufahamu zaidi yako juu ya fani yako
penda kusoma na kuwa mdadisi m sure utakuwa bomba tu...cz kaz iyo inamtaka mtu asiwe mvivu wa kudadisi na kusoma mavitu meng ili uwe na fact na ujue meng...
me love u babra ili punguza u do kazin..ongea LAFUDHI ya kiswahili izo swaga za koktail za mhh u know...yaan kiswahili km kingereza azipendezi
HONGERA KWA KAZI NZURI....wasiwasi ana wasiwasi bado gve hm tym atarecover....pj niaje babu..arsenal wamefanyaje?
kesho kuna mpambano kati ya majimaji na man u plss pj nina tiket yako....man u washatua tz