My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,425
- 2,293
Waliopo ni wale waliokaribishwa na ndio hao wamehama Uislam na kuhamia Ukristu na kusema Uislamu jinsi ulivyo upo upojeNchi km Poland ynye population ya waslam ya 0.01% imekua ni mfano wa kuigwa kwa nchi za ulaya km kisiwa cha amani.
Waliopo ni wale waliokaribishwa na ndio hao wamehama Uislam na kuhamia Ukristu na kusema Uislamu jinsi ulivyo upo upoje
Abrahamic religions zote zina fair share ya masuala ya ugaidi, vita na mauji. Soma Historia ya ulaya uone namna gani ukristo umeua mamilioni ya wazungu. Wayahudi wameua mamilioni ulaya in the name of Christianity. Uyahudi unafanya ugaidi leo middle east.
So, hizo dini za Middle east zote ni dini zinazotenda/zimetenda matendo ya kigaidi na ukatili mkubwa dhidi ya binadamu.
Ukishafanya hitimisho juu yangu ikiwa hata hunijui, basi huwa naishia kukuclassify wewe ni Mpumbavu.Unaweza kuongea meng lakn regarding the fact kwamba uislam ulisambazwa kwa mtutu tayar inaondoa ile kuitwa religion of peace.Nambie kama sio ukatili ni nn yaan mtu aliekuja kutalii kumkiss mke wake sio malaya tena kwny komwe na akastahir kukatwa kichwa ,wafuas wa hii dini weng hawana huruma na ww ukiwemo kuamin kwmb wanastahir kifo.
Sheria zifuatwe , kwanza hiyo taarifa inatoka katika mazingira ya uongo , wakifanya mkaona ni nyie mnasambaza kukejeli ..Kikubwa , kuwasikiliza nyie labda muwe machini , leo wakifanya mchezo kwenye maulid na kupiga kama ngoma , mnakuja kukejeli ila hatua zikichukuliwa mnakuja tena .Unaweza kuongea meng lakn regarding the fact kwamba uislam ulisambazwa kwa mtutu tayar inaondoa ile kuitwa religion of peace.Nambie kama sio ukatili ni nn yaan mtu aliekuja kutalii kumkiss mke wake sio malaya tena kwny komwe na akastahir kukatwa kichwa ,wafuas wa hii dini weng hawana huruma na ww ukiwemo kuamin kwmb wanastahir kifo.
DuuuuhHalafu kwa Nini asilimia kubwa ya mashoga ni waislamu lakini ni waislamu wapo mstari wa mbele kupinga ushoga. Waislamu wengi wanafirwa bana.
Sikubaliani kabisa kuchinjwa kwa wale wanandoa ,issa bin mariam alikuja kuweka mambo sawa na ndiyo maana alisema mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia means alikuwa anataka amani ,mambo ya kumpiga mtu na mawe hadi afe huo ni uhalifu ,dini zililetwa kwa jili ya kuleta Amani.Hili swala inabidi lijadiliwe na tulimalize kwa kukubaliana kwa hoja za msingi bila matusi na bila mtu kupandisha kisukari.
Binafsi pamoja na mkusanyiko wa matukio meng yanayoniaminisha kuwa niko sahihi kuamin kuwa mudi alianzisha na kuisambaza hii dini kwa njia ya ugaidi na ukatili na alifanikiwa kuwarisisha vizaz na vizaz.
•Bila kuzunguka sana hoja nianze nayo kwa hili lililowakuta wanandoa kutoka Bangladesh huko nchini Saudi Arabia ambao wameuawa kwa kukatwa vichwa na kusafirishwa nchini kwao kwny mifuko ili ndugu zao wazike.
Kisa: Likiwa ni wazo la mke kwenda kutembelea Saudi Arabia walipofika katika utalii wa ndan wakatembelea eneo wanaloita waslam kuwa ni takatifu kutokana na excitement walokua nayo wakahug na mme akamkisi mke wake kwny komwe(forehead) bas kulikua na shushushu aliewarecord akaipeleka iyo video kwa mamlaka na kifo kikafata.
•Ruban mslamu alietaka kulipua ndege .
UNAFKI; Kama mme wake angempiga makofi badala ya kiss wasingekutwa na kifo cha kikatili namna iyo, Pia unafki mwngine mkubwa ni pale walipopindisha sheria zao kwa Ronaldo ambae hajaoa kuish na mwanamke wake.Pia wamefanya ivyo kwakuwa Bangladesh ni third world country km TANZANIA ya samuya ila angekua raia wa marekan ama Israel aliefanya kitendo kisichikua na madhara km icho wasingethubutu kuwadhuru kivyovyote.
•Huko marekan tabia ya kukusanyika eneo maarufu la kibiashara kama Times square kujifanya mnaswali na kukwamisha shughuli zingine za binadamu.Vurugu vurugu ndo DNA za hawa watu,kitu km hicho walifanya Australia dereva mmoja akawavaa na gari lake,RIP kwao.
UKATILI IN LOCAL CONTEXT; Hili sihitaji kutumia nguvu kulidhibitisha;matamko ya kupiga na kuua waandamaji yamekua yakitoka upande mmoja tu wa mashehe ,mara nying huwa wanashambulia kwny angle ya kukosa elimu ila napenda kuwaza zaid ya apo kuwa DNA za kigaid wako nazo waslam.
#sijazungumzia na unafk wa uislamu Zanzibar.
NB;Huwa kuna ile tabia ya kutetea hii hoja kwa kuwagawa waslam kwmb sijui hayo hufanywa na Suni mara shia,kwangu hii sababu naona ni BS.
Pia naamin dunia ingekua 10x better place than ilivyosasa bila uislam.
Mkome , toeni majeshi yenu nchi za kiislamu , toeni mahusiano na waislamu ..Mmeenda mpaka kuwaua watu katika nchi za kiislamu , mnaua mpaka viongozi .
Hapo hamjapigwa bomu , kisasi kitaendelea mpaka mkome ..Toeni kila kitu chenu na mrudi kwenu .
Wewe ndio kisukari kimekupanda hadi unakaa unaanzisha ma uzi ya udini kisha unawaomba watu wajadili bila chuki. Wewe ulichokionesha hapa ni nini?
Achaneni na habari za dini wakuu, wewe hujalazimishwa kuwa muislam hebu kaa kwenye Ukristo wako achana na waislam!
Unaona ni sawa hao watu kunyongwa?Sheria zifuatwe kwenye maeneo ya ibada ,kama ingekuwa hao saudia wanafuata kote basi pasingekuwa na kambi za USA wala Israel wasingeenda...Kila sehemu na taratib zake ...Kaa kwenu ,unatakiwa kujiuliza nyie wakristo nchi zenu mbona mna nyege mpaka mnashirikiana na hizo nchi za kiislamu?
Mna mpaka kambi za jeshi ,kesho futeni na kila mtu arudi kwao muone kama mtaweza..Nyie ,mnajisi dini kwa kujifanya mnaleta tamaduni zenu