Waslamu lini mtakubali dini yenu imejengwa kwa misingi ya ugaidi,ukatili na unafki mkubwa!

Hata waislamu hawatki serikali zao kushirikiana na nyie ,si muondoke wala msifanye kushirikiano nao
🤣🤣
 
Umeandika Uzi ambao umekuzidi uwezo wako wa akili na kufikiri matokeo yake uneweka kachumbali kibao ndani Uzi wako Kuna mada 3 ila Kwa kuwa uwezo wako wa akili mdogo umechanganya habari

1) Jinsi mtume Muhammad alivyopokea ufunuo na kusambaza uislam duniani

2) Kuzuka Kwa makundi ya kigaidi Duniani

3) Sheria Kali katika nchi za kiislam

Kwa heading yako ni ugaidi ngoja nikufundishe kitu kidogo

Makundi yote ya kigaidi unayoyajua na kuyasikia hapa Duniani yameanzishwa na Marekani na mfadhiri wa hayo makundi ni Marekani mwenyewe

Hata M23 ni kikundi Cha kigaidi kilichoanzishwa na Marekani na kinafadhiliwa na Marekani na miaka miwili iliyopita walitaka wakihusishe na uislam Ili kuendelea kuwazuga mazuzu kama wewe lakini wameshindwa Kwa sababu congo Kuna waislam wachache sana

Osama bin laden ndio anaaminika gaidi mkubwa kabisa kuwahi kutokea hapa Duniani
Osama ugaidi alifundishwa na Marekani na walimtumia sana katika kuisambaratisha Urusi kipindi hicho baadae ndio wakaja kugeukana

Gadafi raisi wa Libya Marekani wamemuua Kwa madai Kwamba anafadhili ugaidi lakini sio kweli
Hata Anna tibaijula alithibitosha hili kipindi hicho alikuwa yupo UN anasema walifanya juhudi nyingi kumnusuru Gadafi Kwa sababu Gadafi hakuwa gaidi ila ni propaganda tu za Marekani ishu ilikuwa mafuta
Gadafi alikuwa anataka mafuta yasiuzwe Kwa pesa ya Marekani na Ili dollar iwe na nguvu inabidi bei ya mafuta ipangwe Kwa dollar

Marekani na vyombo vya habari vya Marekani na Uingereza ni wazuri sana Kwa kuwadanganya mazuzu kama wewe
 
Hatuwe kuwaacha mzee,hamuez kuwaua watu kwa sababu km kukiss ,hakuna mtu anastahir kuuawa kwa sabb km iyo,kukiss isn't against humanity mpk wakatwe kichwa,ulivyojazwa sumu na mudi apo unaamin walistahili kuuawa, pumbavu
Usivyo na akili cheki unavyokurupuka

Mimi ni mkristu tena yawezekana ni mkristu mzuri kuliko wewe sasa unaposema huwezi kutuacha, huwezi tuacha mimi na nani?

Na unadhani kwa kuhangaika kwako hivi, unaweza kubadili kitu kwa hao watu na imani zao?

Fanya yanayokuhusu dogo wewe. Unajipandisha acid kwa vitu visivyokuhusu una akili wewe?
 
Kama akili zenyewe ndo hizi
Hapa unategemea nini?
 
Kama akili zenyewe ndo hizi
Hapa unategemea nini?
Unaongelea mtu kungonywa kisa ana kosa , mbona ajali juzi tu imeua watu 32 ..Punguza unafiki , kifo kipo wala sio jambo la ajabu .

Basi magari na vyombo vya moto viondolewe ...
 

Kwanini wanapenda kuona wao ni special na wanataka wapendelewe? Kwani binadamu wengine sio binadamu kama wao?

 
kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…