Wasomali na Midomo yao, haifungi!

Wala sio wasomali peke yao hata watutsi. Kama unawajua waha wa Kigoma Manyovu (jamii ya watutsi) wako hivyo hivyo meno ya mbele makubwa.
 
Hivi ni mimi tu labda au kuna mwingine aliyeliona hili kwa Wasomali na midomo yao kwamba haifungi, yaani saa zote meno ya mbele yanaonekana na ni wote, hata kama akifunga mdomo ni lazima meno ya mbele utayaona, …
"Wote" siku hizi linatumiwa vibaya.
 
Sisi huwa tunawaita Washomali😁😆 nimesoma nao mbona sijaona meno ya uzige.
 
Hivi ni mimi tu labda au kuna mwingine aliyeliona hili kwa Wasomali na midomo yao kwamba haifungi, yaani saa zote meno ya mbele yanaonekana na ni wote, hata kama akifunga mdomo ni lazima meno ya mbele utayaona, …
picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…