Kuna siku flani tulishikw na wazimu baada ya kulewa tukapitia na mitaa ya ndani ndani bamburi mombasa tukapatana na harusi flani ya kiswahili tukaamua kuingia ndani, nakwambia vituko tulivyoona !!!!!!!! ha! Nakwambia kusmama hauwezi simama, kuketi haezi keti.......... Lakini ubaya wanawake na wanaume walikua wana hema/tent tofauti ukitaka kusongelea ni mpatane huko gizani....
yani nilichoona hata baada ya wiki ilikua bado nikifunga macho naona madera yakitingika