Wasomali wanyukana tena baina ya koo, 55 wauawa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wote dini moja ya kiislamu, lugha moja ila kama ilivyo kwa binadamu lazima atafute sababu za kuuana, hawa wanauana baina ya ukoo kwa ukoo.

==================

A violent clash over the weekend between two clans in central Somalia has killed at least 55 people and injured another 155, residents and medical officials said on Monday.

Somalia's federal government is not only struggling to contain violence unleashed by the Al Qaeda-linked al Shabaab group, but is also facing clan-based clashes over control of land and water in the Horn of Africa nation.

The fighting between the Dir and Marihan clans, which used to jointly fight al Shabaab years ago, erupted on Saturday in Abudwaq and Herale towns in Galmudug region over grazing land and watering points, said Farah Nur, a clan elder and resident of Herale.

"Government forces came late. Unfortunately 55 people died, this includes both clans," he told Reuters.
"It was easy to stop (the fight) but it didn't happen. The situation got out of hand and spread like a wildfire."
Senior Galmudug officials did not immediately respond to Reuters' request for comments on the incident.

Personnel from hospitals in Herale, Abuwaq and two other adjacent towns confirmed to Reuters they had attended to 115 people who were wounded in the fighting. Those who died were buried immediately, residents said.

The fighting subsided following the arrival of federal government soldiers, residents said.
"There is (a) ceasefire but the mood is not good. A permanent ceasefire is needed," Sadia Hussein, a mother of four, told Reuters from Abudwaq.

The East African
 
Dr. Congo, South Sudan na Somalia....

Tunahitaji kuwaombea. Shida Ni Nini !??
Enough is Enough aisee. Too Much.
 
Ni ugonvi wa Koo kama ulivyo kwa Waancholi na Wanchoke zile Koo za kikurya kule Mara.

Dini sio sababu maana hata wangekuwa mabudha wangetwangana.

Hii ndio inaonyesha huwezi kuexport mfumo wako wa utawala kwa jamii nyingine.
 
Wote dini moja ya kiislamu, lugha moja.... ila kama ilivyo kwa binadamu lazima atafute sababu za kuuana, hawa wanauana baina ya ukoo kwa ukoo..

==================

A violent clash over the weekend between two clans in central Somalia has killed at least 55 people and injured another 155, residents and medical officials said on Monday.

Somalia's federal government is not only struggling to contain violence unleashed by the Al Qaeda-linked al Shabaab group, but is also facing clan-based clashes over control of land and water in the Horn of Africa nation.

The fighting between the Dir and Marihan clans, which used to jointly fight al Shabaab years ago, erupted on Saturday in Abudwaq and Herale towns in Galmudug region over grazing land and watering points, said Farah Nur, a clan elder and resident of Herale.

Wanatafuta hela za kuja kuwekeza...

Nyie kaeni kwenye kigoda na vijora tu..

IMG_20240608_134739.jpg
 
Wote dini moja ya kiislamu, lugha moja.... ila kama ilivyo kwa binadamu lazima atafute sababu za kuuana, hawa wanauana baina ya ukoo kwa ukoo..
Ukizingatia ni wale watu wa kubwatuka allah akbar kabla kujilipua.

==================

A violent clash over the weekend between two clans in central Somalia has killed at least 55 people and injured another 155, residents and medical officials said on Monday.

Somalia's federal government is not only struggling to contain violence unleashed by the Al Qaeda-linked al Shabaab group, but is also facing clan-based clashes over control of land and water in the Horn of Africa nation.

The fighting between the Dir and Marihan clans, which used to jointly fight al Shabaab years ago, erupted on Saturday in Abudwaq and Herale towns in Galmudug region over grazing land and watering points, said Farah Nur, a clan elder and resident of Herale.
Na wote ni dini ya HAKi.
 
Ni ugonvi wa Koo kama ulivyo kwa Waancholi na Wanchoke zile Koo za kikurya kule Mara.

Dini sio sababu maana hata wangekuwa mabudha wangetwangana.

Hii ndio inaonyesha huwezi kuexport mfumo wako wa utawala kwa jamii nyingine.
Sasa wote so waislamu kindakindaki kwanini wapigane au nyerere alipeleka Mfumo huko
 
Wawekeze tu, tena kwa nguvu zote ila pumba zao za kulipuana kwa misingi ya dini na ukoo wayaache Somalia.

Boss hapangiwi kaka..

Wakisha anza kuwalisha nyie mtabaki tu kupiga mdomo. Na uzuri hamuwawezi. Wanajazana kwenye mfumo tu pole pole.
 
Nasemaje! Uwekezaji tunaukaribisha, tena nchi inatamalaki sana kwa uwekezaji wao, vijana wanapata ajira kote kote.
Tatizo litakuja pale wataanza ugaidi wa kiislamu, uzuri na wenyewe wataadhirika kwenye biashara zao hivyo hawathubutu, kwanza wao wenyewe walishaonya sana al-Shabaab kwamba wafanye huko Somalia ila sio hapa walipowekeza.
Chachu ya ugaidi ni pale Waislamu wanaishi wenyewe, ila wakitangamana na jamii zingine huwa wanaishi kwa amani.
 
Wote dini moja ya kiislamu, lugha moja.... ila kama ilivyo kwa binadamu lazima atafute sababu za kuuana, hawa wanauana baina ya ukoo kwa ukoo..

==================

A violent clash over the weekend between two clans in central Somalia has killed at least 55 people and injured another 155, residents and medical officials said on Monday.

Somalia's federal government is not only struggling to contain violence unleashed by the Al Qaeda-linked al Shabaab group, but is also facing clan-based clashes over control of land and water in the Horn of Africa nation.

The fighting between the Dir and Marihan clans, which used to jointly fight al Shabaab years ago, erupted on Saturday in Abudwaq and Herale towns in Galmudug region over grazing land and watering points, said Farah Nur, a clan elder and resident of Herale.
Acha lugha za chuki hiyo kubwatuka inakujaje hapo toa taarifa inatosha isiingize lugha kashifaa
 
Ukabila hata hapo kunyaland upo.naona unajisahaulisha.we mungiki

Wale ni kabila moja, dini moja ila kuuana kama wanyama pori, hiyo dini yenu vigumu muishi wenyewe bila kulipuana.
 
Ni ugonvi wa Koo kama ulivyo kwa Waancholi na Wanchoke zile Koo za kikurya kule Mara.

Dini sio sababu maana hata wangekuwa mabudha wangetwangana.

Hii ndio inaonyesha huwezi kuexport mfumo wako wa utawala kwa jamii nyingine.
wanasahau vya kwao wanakomalia vya Somalia kwa kuwa ni waislamu
 
Wale ni kabila moja, dini moja ila kuuana kama wanyama pori, hiyo dini yenu vigumu muishi wenyewe bila kulipuana.
na huyo mrusi anayeua waukraine pia ni muislamu?

Naona maji hayakupiti vizuri kwa chuki
 
Nasemaje! Uwekezaji tunaukaribisha, tena nchi inatamalaki sana kwa uwekezaji wao, vijana wanapata ajira kote kote.
Tatizo litakuja pale wataanza ugaidi wa kiislamu, uzuri na wenyewe wataadhirika kwenye biashara zao hivyo hawathubutu, kwanza wao wenyewe walishaonya sana al-Shabaab kwamba wafanye huko Somalia ila sio hapa walipowekeza.
Chachu ya ugaidi ni pale Waislamu wanaishi wenyewe, ila wakitangamana na jamii zingine huwa wanaishi kwa amani.

Kwa hiyo uislam ni amani wasipokuwa wanafanyiwa provocation.. Na itabidi mkubaliane nao tu hapo nairobi..

Wame take over retail business kwa asilimia kubwa sana... Saiv wanaingia kwenye malls na real estate... Wamewekeza kuliko hata wakenya wenyewe...
 
Wale ni kabila moja, dini moja ila kuuana kama wanyama pori, hiyo dini yenu vigumu muishi wenyewe bila kulipuana.
Unakimbilia kwenye udini.maana unajua ukabila hata kwenu unawatafuna
 
Dunia inasonga mbele kwa kasi lakini these guys are still living in mediaeval level of squalors. Bado hawaja civilised kabisa
Hao ndio wanaitwaga marginalised. Wenyewe pamoja na maendeleo yoyote yatakayofikiwa mawazo na mono yao yatabakia pale pale.. wazo la babu yake wa miaka 1820 utamkuta nalo yeye mwaka 2045 lilelile kama lilipotokea.
 
Back
Top Bottom