Wasomi mnapoamua kujiajiri onesheni utofauti

N-Tuntufye

Member
Joined
Apr 10, 2023
Posts
5
Reaction score
7
Habari Wa Jamii,

Naomba Tutoa Rai Kwa Wasomi Wetu Wale Walioamua Kujiajiri Kwa Kupenda Au Wale Wenzangu Na Mimi Kwa Sababu Ya Chamgamoto Ya Ajira.

Tunapofanya Biashara Ndogo Au Kubwa Tujaribu Kuonyesha Utofauti Kwanza.

Huduma kwa wateja Ziwe Nzuri Sitegemei Kuona Msosi Analeta Stresi za Ajira Kwenye Eneo La Biashara, Pili Kuongeza Thamani Ya Bidhaa Zetu Pia Tuwe Wafumbuzi Wa Matatizo Yanaowakabili Watu Wa Jamii Zetu.
 
Pili Kuongeza Thamani Ya Bidhaa Zetu
Je tutaongeza vipi thamani ya bidhaa zetu. Lete mifano hai kulingana na biashara unayoifahamu kwa kina.
Wafumbuzi Wa Matatizo Yanaowakabili Watu Wa Jamii Zetu.
Je baadhi ya matatizo katika jamii nai yapi?, Kuna wasomi wako tayari kujifunza. Maana "elimu kitaa" ni zaidi ya 'elimu ya darasani' , Funguka zaidi ili kuwasaidia wengine.
1681272105942.png

=
Umegusia point za msingi sana, Tufanye huu mjadala uwe na Tija.
 
Je tutaongeza vipi thamani ya bidhaa zetu. Lete mifano hai kulingana na biashara unayoifahamu kwa kina.

Je baadhi ya matatizo katika jamii nai yapi?, Kuna wasomi wako tayari kujifunza. Maana "elimu kitaa" ni zaidi ya 'elimu ya darasani' , Funguka zaidi ili kuwasaidia wengine.
View attachment 2584971

=
Umegusia point za msingi sana, Tufanye huu mjadala uwe na Tija.
Kuna kitu tunaita "competitive forces model" ukijifunza hizi kwa undani utaweza kuifanya product ama service yako iwe na utofauti
 
Habari Wa Jamii,
Naomba Tutoa Rai Kwa Wasomi Wetu Wale Walioamua Kujiajiri Kwa Kupenda Au Wale Wenzangu Na Mimi Kwa Sababu Ya Chamgamoto Ya Ajira.
Tunapofanya Biashara Ndogo Au Kubwa Tujaribu Kuonyesha Utofauti Kwanza,
Huduma kwa wateja Ziwe Nzuri Sitegemei Kuona Msosi Analeta Stresi za Ajira Kwenye Eneo La Biashara, Pili Kuongeza Thamani Ya Bidhaa Zetu Pia Tuwe Wafumbuzi Wa Matatizo Yanaowakabili Watu Wa Jamii Zetu.
Uko sahihi mkuu
 
Naomba kuwezeshwa 6milion aliyetayari WhatsApp namba 0755846814 kurudisha miezi 5
 
Back
Top Bottom