N-Tuntufye
Member
- Apr 10, 2023
- 5
- 7
Je tutaongeza vipi thamani ya bidhaa zetu. Lete mifano hai kulingana na biashara unayoifahamu kwa kina.Pili Kuongeza Thamani Ya Bidhaa Zetu
Je baadhi ya matatizo katika jamii nai yapi?, Kuna wasomi wako tayari kujifunza. Maana "elimu kitaa" ni zaidi ya 'elimu ya darasani' , Funguka zaidi ili kuwasaidia wengine.Wafumbuzi Wa Matatizo Yanaowakabili Watu Wa Jamii Zetu.
Kuna kitu tunaita "competitive forces model" ukijifunza hizi kwa undani utaweza kuifanya product ama service yako iwe na utofautiJe tutaongeza vipi thamani ya bidhaa zetu. Lete mifano hai kulingana na biashara unayoifahamu kwa kina.
Je baadhi ya matatizo katika jamii nai yapi?, Kuna wasomi wako tayari kujifunza. Maana "elimu kitaa" ni zaidi ya 'elimu ya darasani' , Funguka zaidi ili kuwasaidia wengine.
View attachment 2584971
=
Umegusia point za msingi sana, Tufanye huu mjadala uwe na Tija.
Uko sahihi mkuuHabari Wa Jamii,
Naomba Tutoa Rai Kwa Wasomi Wetu Wale Walioamua Kujiajiri Kwa Kupenda Au Wale Wenzangu Na Mimi Kwa Sababu Ya Chamgamoto Ya Ajira.
Tunapofanya Biashara Ndogo Au Kubwa Tujaribu Kuonyesha Utofauti Kwanza,
Huduma kwa wateja Ziwe Nzuri Sitegemei Kuona Msosi Analeta Stresi za Ajira Kwenye Eneo La Biashara, Pili Kuongeza Thamani Ya Bidhaa Zetu Pia Tuwe Wafumbuzi Wa Matatizo Yanaowakabili Watu Wa Jamii Zetu.