Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kama unakuwa msomi na huzijui haki zako za msingi ni heri upokonywe vyeti vyenyewe.
Si wasomi wote wataajiriwa na serikali au sekta binafsi ila ni sharti kuwepo na usawa katika ajira. Bila kijali huyu anatoka visiwani au bara kwenye suala la ajira vijana wote wanapaswa kuwekwa kwenye kapu moja.
Vijana amkeni, kila siku mnawaza uchawa tu.