Wakuu eti inawezekana kupostgraduate fani fulani na masters pia ukafanya fani nyingne? Au kuna limitation kwamba ulichofanyia postgraduate ndo hicho hcho ukfanyie masters?
Pia unaruhusiwa kupostgraduate chuo A na masters ukaenda kufanyia chuo B..?
Unaruhusiwa. La msingi ni vigezo vya kuingilia mfano una degree/ advanced ya education, ukasoma post ya sport, mathematics economic..kutegemea chini umesoma nn, na ukaamua pia kusoma masters yoyote mfano uongoz wa biashara, ..wengi wanaangalia gpa