Wasomi ni kweli Rwanda wanaogopa genocide ya pili?

Wasomi ni kweli Rwanda wanaogopa genocide ya pili?

Ni genocide ya tatu,,ya kwanza ndo iliwafanya familia za kina kagame kukimbilia Rwanda na wengine kwenda Kongo eneo la mulenge wakawa wanaitwa Banyamulenge,,,,ila mauaji hayo huwa ni ya kutisha na ni haki kila binadamu ayaogope,
 
Hata mimi nayaogopa, ni nani asiyeogopa mauaji ya halaiki?
 
Back
Top Bottom