Panya alimeza almasi. Mmiliki wa almasi aliweka kandarasi ya mtu kumuua. Mwindaji wa panya alipofika, kulikuwa na panya zaidi ya 1000 wamekusanyika na mmoja ameketi peke yake mbali na wengine. Alimwona na kumuua aliyekaa peke yake na kwa mshangao wa wamiliki, ndiye aliyeimeza almasi. Mmiliki wa almasi aliyeshangaa aliuliza, "Ulijuaje kuwa ni panya huyo?" Alijibu kirahisi sana.... Wajinga wakitajirika hawachanganyi na wengine!!