Wasomi Tanzania vs Kenya

Wasomi Tanzania vs Kenya

Cathylin 2002

Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
31
Reaction score
128
Good afternoon Tanzanians

Nina Mambo machache ya ku wauliza.


Why wasomi na vijana wa Tanzania hawana moyo wa kuthubutu kabisa wapo busy na Simba na yanga hawajui sheria katiba hawajui hawajui umuhimu wa siasa katika maisha Yao

Mawazo ya vijana wa Tz awe lottery degree holder (useless degree)awe drop out au village Teenager wanawaza kua chawa wa serikali kam ndio exist ya maisha magumu?

Kenya vijana wanajielewa sana why bongo ?
 
Back
Top Bottom