#COVID19 Wasomi Tanzanzia wanapotosha kuhusu chanjo ya COVID 19

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
3,085
Reaction score
4,890
Hebu angalia alichosema msomi huyu kuhusu Chanjo ya Corona katika Awamu ya Magufuli na Awamu ya SAMIA.

Herufi A wakati wa MAGUFULI
Herufi B wakati wa SAMIA

 
Chanjo ni salama...Ukinywa haidhuru...Kiwango cha athari ni kidogo Sana.

Sijui nichukue kauli ipi

All they are saying is "Trust me bro"
 
Hawa ndo wasomi ambao serikali inasema tuwaamini na kuwakabidhi Afya zetu na za familia zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…