Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
upotoshaji useless na completely nonsense mno huu gentleman 🐒Hiyo ndio Tanzania, watu wajinga wàjinga, walojipenyeza na kujitengenezea Mfumo, Leo hii ndio walomuweka Lissu na akili yake Gerezani, ndo hao wanaokamata wahadhiri Vyuo vikuu na kuwapa Kesi za Ugaidi.
Tanzania ya Leo, Umoja wa watu wajinga na wapuuzi, umekua na nguvu sana.
Ni lazima Watanzania Tuyakatae hayo yanayoitwa MARIDHIANO, huu Umoja wa watu wajinga, hauondoshwi kwa Maneno, kwa sababu wanajua Hatima yao ni ipi ikiwa wataanguka !!.
Kuna levels mtu akifika na kupata D mbili ni bingwa sana.Hao washenzi waliotajwa hawana uwezo wa kumiliki D.Ha ha ha! Watu wa D mbili, wanakamata wasomi! 😊
Hakuna wasomi waliokamwatwa gentleman..?upotoshaji useless na completely nonsense mno huu gentleman 🐒
Wasomi gani hapa bongo lalaHiyo ndio Tanzania, watu wajinga wàjinga, walojipenyeza na kujitengenezea Mfumo, Leo hii ndio walomuweka Lissu na akili yake Gerezani, ndo hao wanaokamata wahadhiri Vyuo vikuu na kuwapa Kesi za Ugaidi.