KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
Binafsi mimi ni mtaalamu nipo nimejifungia naendelea na utafiti mkuu.Nimefutilia mataifa mbalimbali kupitia mitandao naona madaktari na wakemia wakitaja dawa mbalimbali katika ugunduzi wa tiba ya Corona lakini Tanzania naona fofofo.
Sasa najiuliza pale Muhimbili University na Bugando mnajifunza kuosha vidonda tuu? Au ni vyuo vya ujenzi wa Maghorofa?
Hivi Tanzania tunasomesha wataalamu wa Afya au tunakaririsha watu jinsi ya kutoa dawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasubiri tuishe wote?Binafsi mimi ni mkemia,nipo nimejifungia naendelea na utafiti mkuu.
Hahaha Tanzania kwa proposal za kuomba pesa hawajambo.Wapo kaka kuna proffesor wangu anataka kufanya utafiti juu ya chanjo ya korona lkn anaona gharama ni kubwa mnoo ameshaandika proposal
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefutilia mataifa mbalimbali kupitia mitandao naona madaktari na wakemia wakitaja dawa mbalimbali katika ugunduzi wa tiba ya Corona lakini Tanzania naona fofofo.
Sasa najiuliza pale Muhimbili University na Bugando mnajifunza kuosha vidonda tuu? Au ni vyuo vya ujenzi wa Maghorofa?
Hivi Tanzania tunasomesha wataalamu wa Afya au tunakaririsha watu jinsi ya kutoa dawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali isilete mchezo kwenye hizi fani chemistry, biology na pharmacy hawa ndio wanaweza kugundua dawa wakiwezeshwaNimefutilia mataifa mbalimbali kupitia mitandao naona madaktari na wakemia wakitaja dawa mbalimbali katika ugunduzi wa tiba ya Corona lakini Tanzania naona fofofo.
Sasa najiuliza pale Muhimbili University na Bugando mnajifunza kuosha vidonda tuu? Au ni vyuo vya ujenzi wa Maghorofa?
Hivi Tanzania tunasomesha wataalamu wa Afya au tunakaririsha watu jinsi ya kutoa dawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo kaka kuna proffesor wangu anataka kufanya utafiti juu ya chanjo ya korona lkn anaona gharama ni kubwa mnoo ameshaandika proposal
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ana mashimo kichwani mwake.Pasta mashimo ametangaza ana DAWA
Ni muda mrefu pia serikali kupitia wizara ya Afya haija ajiri Wakemia sijui kwanini maana hao wakikaa na wafamasia meza moja hakishindikani kitu.Serikali isilete mchezo kwenye hizi fani chemistry, biology na pharmacy hawa ndio wanaweza kugundua dawa wakiwezeshwa