KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
- Thread starter
-
- #21
Kwahiyo mpaka sasa wataalamu wetu ni sawa tu na Mimi Kolokoloni wa Muhindi hapa getini . Hakuna juhudi zozote za kitafiti zinazoendelea?Ni muda mrefu pia serikali kupitia wizara ya Afya haija ajiri Wakemia sijui kwanini maana hao wakikaa na wafamasia meza moja hakishindikani kitu.
Tunaendeleza tukiwa nje ya mfumo hivyo hivyo ikitick tu tukaingia kwenye mfumo tutaisaidia serikali yetu.Kwahiyo mpaka sasa wataalamu wetu ni sawa tu na Mimi Kolokoloni wa Muhindi hapa getini . Hakuna juhudi zozote za kitafiti zinazoendelea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Tanzania kwa proposal za kuomba pesa hawajambo.
Tanzania dawa hugunduliwa na waganga wa kienyeji. Wapo tu wanaumiza vichwa huku kila mmoja anaomba awe wa kwanza kugundua dawa apige hela.Nimefutilia mataifa mbalimbali kupitia mitandao naona madaktari na wakemia wakitaja dawa mbalimbali katika ugunduzi wa tiba ya Corona lakini Tanzania naona fofofo.
Sasa najiuliza pale Muhimbili University na Bugando mnajifunza kuosha vidonda tuu? Au ni vyuo vya ujenzi wa Maghorofa?
Hivi Tanzania tunasomesha wataalamu wa Afya au tunakaririsha watu jinsi ya kutoa dawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kausha Unataka wakale wapiProposal za ulaji na usani tu! Bure kabisa maprofesa wetu, kazi kuvimbisha vitambi na kuongea vingereza bombastic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maabara mnafanya nini?Kausha Unataka wakale wapi
Tulieni hivo hivo tunaandaa proposal tupen hela tutengeneze dawa
Sent by IPhone
Hiyo malighali ya chanjo ni pamoja na nyuklia ama?Wapo kaka kuna proffesor wangu anataka kufanya utafiti juu ya chanjo ya korona lkn anaona gharama ni kubwa mnoo ameshaandika proposal
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungetuwekea mfano, Rwanda, Kenya, Uganda, DRC, Misri n.k. wamegundua dawa gani nasi tujifunze.Nimefutilia mataifa mbalimbali kupitia mitandao naona madaktari na wakemia wakitaja dawa mbalimbali katika ugunduzi wa tiba ya Corona lakini Tanzania naona fofofo.
Sasa najiuliza pale Muhimbili University na Bugando mnajifunza kuosha vidonda tuu? Au ni vyuo vya ujenzi wa Maghorofa?
Hivi Tanzania tunasomesha wataalamu wa Afya au tunakaririsha watu jinsi ya kutoa dawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa najiuliza pale Muhimbili University na Bugando mnajifunza kuosha vidonda tuu?
Lililotabiriwa linatimia... Huwezi kupingana na unabii, hata uwe kichwa ngumu vipi ila mwishoni tutaelewa tu. Njoo uchukue dunia yako Bwana.