Msomi huyu wa mzumbe kasoma pale na kupata elimu yake mzumbe alicho jifunza ni hiki ambacho ana kifanya leo kwenye macho ya watu Mwijaku siku akiambiliwa alambe mwiko sifikiri kama atajiuliza sana
Watoto wake uko shule wanaishije ana tengeneza mazingira ya familia yake kutukanwa kila siku na watoto wake hii ni aibu sana kwa mwanaume kufanya hivi