TrioNeTwork
JF-Expert Member
- Aug 7, 2022
- 528
- 414
huyu pof anaitwa nani?Wasalaam.
Katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Tengeru Institute of Community Development
ezekielhuyu pof anaitwa nani?
Muhohoezekiel
Kafulila aje kwenye siasa atatufaa sanaWasalaam.
Katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Tengeru Institute of Community Development (TICD), mzungumzaji mkuu alikuwa David Zacharia Kafulila . Washiriki walieleza kuwa hotuba yake ilikuwa excellent,
tangu aungane na mafisadi nishamzarauWasalaam.
Katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Tengeru Institute of Community Development (TICD), mz
- Alisema kuwa hutazama mambo kwa kutumia governance lenses, akimaanisha miwani ya
naona ndoa ilimshinda ndg yetutangu aungane na mafisadi nishamzarau
Hata Putin imemshindanaona ndoa ilimshinda ndg yetu
Sana, atakuwa msaada sana kwa Taifaila jamaa yuko njema sana
Siasa zinaharibu akiliKafulila aje kwenye siasa atatufaa sana
mbona alikuwa ni mwanasiasa?Siasa zinaharibu akili
hazina ya taifaWasalaam.
Katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Tengeru Institute of Community Development (TICD), mzungumzaji mkuu alikuwa David Zacharia Kafulila . Washiriki walieleza kuwa hotuba yake ilikuwa excellent, accurate, progressive, na yenye sifa zote za kitaaluma na kitaifa.
Miongoni mwa waliotoa maoni alikuwa Jackson Ezekieli Muhoho, ambaye alijitambulisha kama mhadhiri katika chuo hicho na amehudumu kwa zaidi ya miaka 17 katika taasisi za elimu ya juu. Alieleza kuwa katika kazi zake, huwa anatathmini mambo kwa kutumia miwani mbalimbali ya uchambuzi:
Jackson alieleza kuwa historia ndefu iliyotolewa na Kafulila ilikuwa ya kiwango cha juu na hakuona haja ya kuibadilisha. Alisisitiza kuwa hotuba hiyo ingeweza kufunga mjadala kabisa kwa namna ilivyokuwa sahihi na ya kina.
- Alisema kuwa hutazama mambo kwa kutumia governance lenses, akimaanisha miwani ya uongozi na uwajibikaji.
- Aliongeza kuwa hutumia pia policy analysis lenses, akichunguza afya ya sera zinazotumika katika taasisi na taifa.
- Alifafanua kuwa hutazama kwa strategic management lenses, akihusisha namna historia ya taifa na taasisi inavyosimamiwa na kutumika kama nyenzo ya maendeleo.
- Alisema pia hutumia institutional development lenses, akipima hatua za kuendeleza taasisi kwa misingi ya uendelevu.
- Aidha, aliongeza kuwa hutazama kwa monitoring and evaluation lenses, akifuatilia na kutathmini kila hatua na maamuzi ya kitaifa, kitaasisi, na hata binafsi.
Aidha, alitoa ushauri kwamba mihadhara ya Kafulila, kwa kuwa ni ya kiwango cha juu na yenye thamani kubwa, isiachwe kuwa scattered au fragmented. Alisema kuwa ni muhimu hotuba hizo ziandikwe na kubadilishwa kuwa policy briefs, strategic briefs, na miongozo halisi ambazo zitaathiri moja kwa moja sera na utekelezaji wa kitaifa.
Jackson alishukuru timu nzima ya TICD kwa maandalizi mazuri ya mhadhara huo na akamtambua rafiki yake Dr. Bravios Kahiyoza, pamoja na wataalamu wengine waliokuwa sehemu ya maandalizi.
Kafulila ni kichwa sana
duuuhHata Putin imemshinda
Sanaila jamaa yuko njema sana
Habari njema sanaWasalaam.