Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kwa wafuatiliaji wa siasa za hapa nchini watagundua kuwa katika miezi na wiki za karibuni kumeibuka wasomi ambao hata hawana majina na waliokuwa hawajulikani isipokuwa na wachache huko wanakoishi ambao wamejitokeza kutoa ushauri kwa watawala na wananchi kwa ujumla.
Uzuri wa wasomi hawa pamoja na kutokuwa na vyeti vinavyotambuliwa inaonekana wana mawazo na hekima kwa kiwango cha juu kiasi kuwa wenye vyeti wanabwagwa chini.Hili huenda linatokana na kuwa hawa washauri wapya hawachukui mawazo yao tu bali kutoka kwa aliyewaumba.Na kumbe ni wengi zaidi kuliko wale wanaotangaza vyeti vyao.
Hebu muangalie na msikilize huyu useme iwapo umewahi kumuona popote na mlinganishe na wale uliowazoea kuwaona kwenye majukwaa.
Ushauri:kile cha kusisimua zaidi utakisikia mwisho wa khutba yake.
View: https://www.youtube.com/watch?v=M_vvn0dQTvI&t=16s