PreGE2025 Wasomi wasema hawamtaki Martha Karua nchini ataleta machafuko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hawa ni chawa sio wasomi
 
Fuatilia hulka zao wote watatu utagundua kuna makosa waliyafanya mpaka wakakutwa na shida walizokutana nazo.

Mada inawahusu Mwangi na hao wasaliti kutoka nchi jirani, wameipata habari waliyoitafuta.
Tumia ubongo usitumie 💩💩💩mbolea.
 
Huo usomi anaojiita, kwa nini hawautumii kuzuwia udukuliwaji wa nyaraka zetu na hao Wakenya?

Hovyo sana
 
Daah madogo wamebebwa mtaani wamedanganywa watapewa 20k wakajaze ukumbi wakaishia kunywa maji tu
 
Hako kataahira kanakoendelea kujipatia coursework za chupi, kakilenga kujipatia degree ya chupi, ili kakatafute ajira kwa chupi na baadaye kazini kapate promotion kwa chupi kanamuita huyo mama mbibi kwa tone iliyojaa dharau lakini kanasahau kuwa hata huyo kanayemtetea naye ni mbibi na ubibi wala si kitu kibaya.
 
Mko sahihi vijana. Kuna martha Karua kama hawa wabibi zenu tz huyu mnamuita shangazi na yule mzungu koko kakimbilia Nairobi wanaishi kwa fedha za wafadhili kwa hiyo lazima wawepo kazini saa zote ili kupata hela. Wao wanachorea hela zawafadhili wa nchi za magharibi wenye kutaka kutekeleza agenda zao za kuendeleza ukoloni mamboleo.
 
Mmetumia vigezo gani kuwaita wasomi au ukishajua kusoma na kuandika unakua msomi wamepablish wapi papers zao na zimekua na viewers wangapi hizo papers zao?
 
hivi martha karua yuko wapi? mbona hazungumzii ghasia zinazoendelea marekani mbona hajafunga safari kwenda marekani kuungana na waandamanaji, wala hajatoa kauli kuachiwa kwa waandamanaji walioko korokoroni
 
Kama Martha Karua anaamini yeye ni mwanaharakati na mwenzake Mpuuzi Jaji Maraga wanaamini kweli wao ni mamwamba, basi waje kesho Tanzania. PUMBAVU ZAO!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…