Tatizo hamtafuti mchongo mnasubiria kuletewa mpaka mlangoni. Kuna wakala wa kuwatafutia ajira taesa niliona habari yao humu wapo waliowachangamkia wengine walaa wanakaa kulalamika posho ndogo mara hiki mara kile. Kule ni kutafuta experience na ujanja zaidi